kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Yanga Jana wameayaaga rasmi mashindano baada ya kufungwa mabao matatu Kwa sifuri, licha ya kujitahidi na kupata ushindi hapa nyumbani, ukiangalia tuu Kwa jicho pevu utaona yanga hawakuwa na maandalizi ya kutosha tangu mwanzo, wamepoteza mchezo Wa club bingwa dhidi ya ile timu ya Zambia kizembe kabisa na yote in kutokana na kukosa maandalizi na nisemapo maandalizi sio ya uwanjani au kimchezo hapana ni kisaikolojia, tumeona Siku chache kabla ya kwenda kujiandaa na mechi dhidi ya simba, mfadhili wao Mkuu Yusuf manji alipata matatizo dhidi ya wasimamizi Wa sheria jambo ambalo kinadhalia lilimuathiri sana yeye manji kisaikolojia na timu nzima na wakati mwingine hata wapenzi wao pia,sasa ktk mazingira kama haya alafu mnaelekea kwenye maandalizi
Ya mechi ngumu tena na timu za uarabuni no wazi mnajiandaa kwenda kutolewa, na juzi tunasikia kuna wachezaji wamegoma kusafiri na timu mpaka walipwe mishahara yao yapata miezi miwilu au mitatu, na wachezaji hao in chirwa na bossou na wachezaji muhimu sana Yanga hasa chirwa maana yupo kwenye kiwango kizuri sana, ukiangalia ktk kipindi chote cha matatizo ya manji utaona ndio chanzo cha matatizo hivyo utaona hats mfadhilu wao alikuwa ktk msongo mkubwa Wa mawazo na kisaikokojia, na ndio juzi tumeona baada ya mambo kupata nafuu ndio ameenda kutembekea kambi na kutoa ahadi ya kulipa posho kidogo za safari na ahadi ya mishahara wakirudi toja Algeria, hayo nu machache yanayotokea kwenye timu zetu, na si yanga pekee haya mambo pia yanatokea Simba na hapa hakuna kuchekana, Hapa utaona ndio hats tatizo LA maendeleo yetu kisoka yanapoanzia, na kama kuna watu wanakumbukumbu nzuri wataona jitihada za watu waliokuja Yanga na mipango ya maendeleo ili Yanga iweze kujitegemea kama timu, lakini waliishia kuhujumiwa mpaka wakaacha uongozi, Kwa mfano George mpondela( Castro) alitaka kutumia Akili zake kuleta mageuzi yake Yanga ilishindikana maana gulamali akishirikiana na wanayanga wajinga huku wakihongwa vihongo vidogo vidogo walihujumu tens Kwa kuwapa wachezaji hela ili mpondela aonekane hafai na mwisho Wa Siku gulamali, viran, vinod asal, na ramesh patwa walirudi Yanga na mpondela kuamua kujiuzuru na ndio laana ile hadi leo, hao wakina manji hawawezi kutengeneza hata kiwanja cha nyasi bandia maana anajua ysnga wakipata uwanja watapata pesa hivyo atatokea MTU mwenye Akili atawashawishi watamfukuza au kumkorofisha Kwa maana hats akiondoka tayari Yanga wanapakuanzia, leo Yanga wana laana ya .mpondela na karibu 90% ya waliosababisha hiyo laana wameshakufa, ila laana bado na itaendelea kuwrpo mpaka kizazi cha tatu Kwa wale tunaoamini biblia hivyo haya mambo tutasubiri sana, Kwa mtindo Wa jinsi soka linavyoendeshwa hapa nchini itakuwa ndoto kupata timu au hata watoto wadogo walioandaliwa vizuri kuja kuchezea timu ya taifa na nimepata habari karibu nusu ya wachezaji Wa timu ya taiga chini ya miaka 17 Simba na Yanga nasikia wameshagawana hivyo baada ya miaka miwili kuanzia sasa watakuwa wameshaingia kwenye siasa za Simba na Yanga na ndio hapi Siku usishangae kapewa mil 5 aachie goli ili timu pinzani walale usingizi mnono Siku hiyo, hizi ndio siasa za Simba na Yanga, washabiki na wapenzi ndio wamekuwa viongozi na watoa maamuzi hata wakati mwingine kusajili wachezaji, na wale wachezaji Wa zamani ambao ndio wanafahamu shida na raha za mchezo wengi wao uwezo Wa kielimu Mdogo sana Pamoja na maarifa ya maisha na njaa na dhiki Kwa kukosa kwao maarifa kunawaadhibu vikali huko uswahilini yaani kwenye Moira kila MTU anajua kuanzia wachambuzi mpaka watu Wa kubet, hatari sana, kwani wahusika ambao walicheza mpira ama hali zao duni au uwezo wao kielimu mdogo wamejificha wamewaachia wafanyabiashara na wanasiasa. Mpoooooo?
Nakubali kukosolewa na sio mambo ya kukosoa typing error kosoa hoja.