Hivi ujenzi wa kiwanja cha ndege chato kimefikia wapi. Lini kinakamilika?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Wakuu ningependa kujua ule ujenzi wa kiwanja cha ndege chato ulioanza kwa speed ya roket miezi kama tisa iliyopita, sasa umefikia wapi?

Walioko uko chato mtutupie hata ma selfie ya liuwanja la chato. Wengine tunaham ya kuamia chato.
 
Back
Top Bottom