CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Usiniulize nimejuaje.. Ama kwanini nimeuliza..
Ama hawapendani katika mlengo gani..
Kila sehemu ya maisha tu wao hawapendani.
Mifano iko mingi na haihitaji degree ya Sociology kuelewa hili.
Mfano 1
Umewahi kuishi ama unaishi nyumba za kupanga!!
Hasa zenye familia zaidi ya tatu nne tano zenye wanawake hasa wenye watoto wadogo...
Ebanaee watoto wa nyumba moja majuz walikua Wanacheza.
Mmoja ni mgomvi sana, akampiga mwenzake. Mzazi wa mtoto aliyepigwa akamwambia mtoto wake "Na wewe mrudishie"
Mtoto kweli kamrudishia...
Mtoto mgomvi akaanza kulia, mama yake akatoka ndani!!
Wacha wamama waanze kurushiana matusi
"Nini wewe umeachika kwa mume wa kwanza umebahatika kuolewa tena, na hapo lazima uachike tena mshenzi wewe!! "
" mshenzi mwenyewe kila siku kula maandaz usiku, wali mpaka JUMAPILI ndio unapika"
"Kama mimi sina hela mwanao asingekua anakuja kulosa kila siku kwangu, malaya wewe "
Hapo waume zao wakirudi usiku tulii hawa elewi kinachoendelea.
Mfano 2
Kuna binti jirani alikua anaolewa. Sasa mmoja wa shoga yake alikua mpambe wake. Baada ya harusi akawa kwenye msafara kumsindikiza Bi harusi kwenye makazi yake mapya (home kwa mumewe)
Basi aliporudi si akabanwa na wenzake ambao hawaku bahatika kwenda kumsindikiza (maana gari ilikua ndogo)
"Shost tuambie, vipi kwa mume wake pazuri? Ni nyumba yake ama amepanga? Nyumba nzuri kama ipi hapa mtaani "
Mfano 3
Ushawahi kukaa sehemu na wanawake then akapita mwanamke mwingine (hasa binti kigori ambae hajaolewa bado) akiwa amependeza kavaa dera linang'aa, mtandio mzuri, mkoba kwekundu, skuna mguuni.
Badala sisi wanaume ndio tugeuke kuangalia neema za Allah, wanawake nao hugeuka kama sisi..
Tofauti ni kuwa wao huangalia kawazidi wapi, then wamemzidi wapi.
Utasikia
"Huo mkoba hata haja mechisha na rangi za viatu, hilo dera kaliharibu kulipinda kiunoni, halafu siku hizi Salha anajichubua usoni muone alivo jiharibu.."
Kama ni wastaarabu sana wataishia kubyeda midomo.
Still more examples???
Mingine unayo mwenyewe.
Sasa wakuu nini hasa huwa fanya wanawake kuchukiana.
Ni nature yao, udhaifu wao, ujinga wao.
Nachelea kusema kuwa hii ni moja ya sababu zinazo nifanya naogopa / nachelewa kuoa.
Karibuni tubadilishane mawazo.