TANZIA: MwanaJF Linamo amefiwa na mtoto wake

nellwan

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
378
1,000
Wakuu, huyu ni member mwenzetu hapa JF amefiwa na mtoto wake leo saa 10 jioni wakiwa njiani kumpelekwa hospitali.

Chanzo: Mimi mwenyewe niko eneo la tukio.

Wakuu kesho nitaweka hapa siku ya maziko.

Maziko yatakuwa Leo Marangu.

Hii ni kwa wale watakaoguswa na msiba uliompata member mwenzetu. 0686979746.
 

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,501
2,000
Mhh jaman vp mbona Tanzia umu zimetuandama ivo pole kwa ndugu zetu wanaopita kwenye kipind kigumu.
Mungu awape hvumilivu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom