Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Nawatakieni Pasaka Njema ndugu zangu watanzania.
Tusisahau kuniombea taifa na viongozi Wetu.
Tusisahau kujitathimini upya ktk Maisha yetu mawazo na matendo yetu.
Mi nitakuwepo nyumbani mpweke Maisha ya ubachelor ndo kama hvy.