Hili linawahusu akina mama.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,773
3,471
Habari za mchana waungwana.
Leo nimeona bora niwape somo au dawa ya asili kwa wale ambao wanapata shida wakati wa kujifungua, hakuna haja ya kwenda kufanyiwa operation pindi endapo unaona tatizo hilo linawwza kukutokea.
Fata njia hii, chukua asali orjino ambayo haikuwekwa sukari changanya habat na souda kunywa, hapo tatizo la kujifungua kupitia operation litakuwa limeisha.
NB: hakikisha kabla hujajifungua unatumia hiyo dawa matokeo mtaniletea.
 
Back
Top Bottom