Niliwahi kuandika humu ndani kuwa tujijengee utamaduni wa kukataa kuua askari kwa sababu yoyote ile.
Katika jamii zetu kuna watu wengi ambao wamepitia dhuluma kubwa wakiwa mikononi mwa polisi.Kuna ambao imebidi wajinasue kwa kutoa hongo na kuna ambao wametoka Polisi wakiwa vilema,hawa wote wana chuki ndani ya nafsi zao dhidi ya polisi lakini bado si sahihi kuua askari.
Ukiua askari unaiingiza familia yako,kijiji chako na jamaa zako wa karibu katika msukosuko mkubwa na kwa mimi ni afadhali aumie mtu mmoja kuliko jamii nzima.
Kama ulipata taabu,mateso au hata kupoteza ndugu mikononi mwa polisi usilipize kisasi kwa kuua askari.