Mohamed Mchekwa
Member
- Jul 19, 2016
- 9
- 5
Mwigulu Polisi walitegemea kuskia hayo kutoka kwako na kwa namna hii umeongeza morali kwa askali wetu...... watanzania tumekuelewa, wizara yako imeskia, jeshi la polisi limefurahi - IGP ni utekerezaji tu mkuu wa wizara kesha nena FIDIA ZA ASKALI WALIOUMIA KAZINI ZIHARAKISHWE........
"Mtu uliyemtuma umemkuta alipoumia unakaaje wewe uliyebaki hai kuangalia kanuni.... unapitia huku..... unapitia huku unaunda tume...... tume ya nini Mtu umemkuta pale pale.....
Nalisemea hili hapa hapa kwa sababu ya mazingira kwamba mmelimbikiza sana hivyo vitu..... harakisheni vijana wetu walioumia katika mazingira haya hatari hakuna mtu anaweza akaigiza kujipiga risasi.......
Nilienda tanga kijana mwingine hivyo hivyo amepambana na majambazi mpaka kakamatwa...... yeye kavunjika miguu yote wananchi wamewapongeza silaha ikakamatwa anasema mnilipe fidia ya kuumia kazini nyinyi mnamwambia haukua kwenye OB....
Hivi vitu havifai!!!! Hivi vitu havifai!!!!!
Shughulikeni na vile ambavyo ni vya kimaneno maneno lakini hivi vya kiuaskali mtu anaenda kupambana hivi ondoeni mjadala hivi ni vya kiuaskali......
Leo hii tunaweza tukaongelea kuhusu kuharakisha lakini wao wakielezana unaweza kukuta hata wale wa mwaka jana bado hawajafanya hivyo......."
Hon Mwigulu Nchemba 15/4/2017