pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Wana JF, Heri ya pasaka.
Nikiwa nimepumzika Jana jioni hapa mitaa ya Mwenge nimeguswa bega na kijana wa Kimasai na kunijuza kuwa anauza dawa za kuongeza ngufu. Mimi nikamuuliza nguvu ipi akaniambia "ile ya mama yoyo"" harakaharaka nikajua ni nguvu za kiume. Zaidi kasema ina refusha ile mambo. Sasa swali langu, je hizi dawa zinafanya kazi?? Kama kuna waonjaji embu mtupe uzoefu,