sikujhighijha tembo
Member
- Mar 19, 2017
- 51
- 17
Nina umri wa miaka 36,kutokana na tekateka nataka nijifunze karate,kabla sijamtafuta sensei je ni mazoezi gani nifanye ili yakanisaidie kurusha kick(geri),mateke..msamba unanishinda nmekomaa mifupa kupita kiasi.au msaada wa link itakayonitrain online.ntashukuru sana kama ntapewa majibu mazuri na si yakebehi