Simu inaandika"unfortunatly phone has stoped"

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu
Natumia simu aina ya HUAWEI y520
Simu hii imekuwa ikikumbwa na ta tatizo na kunitolea ujumbe unaosomeka kwamba unfortunatly phone apps has stoped huku ukipoteza network na simu kushindwa kufungua mafail mengine na kila ukitaka kufungua ujumbe huo unajitokeza tena

Wataalamu hili tatzo linatokana na nini
Na ni jinsi gani naweza kulimaliza kabsa
 
hiyo simu umeijaza vitu vingi sana inaonyesha ume download appa nyingi sana hasa za social network hizi huwa zinakula sana space reset kisha pakua apps zilizo za muhimu tuu au nunua memory yenye gb nyingi
 
Nayangu ilianza hovyohivyo mwisho wake inazima kabisa paka ikaflashiwe nahata ikiflashiwa unakaa miezo miwili inaanza tena paka niliamua kuitupilia mbali.ilikuwa huawei y 600
 
Wakuu
Natumia simu aina ya HUAWEI y520
Simu hii imekuwa ikikumbwa na ta tatizo na kunitolea ujumbe unaosomeka kwamba unfortunatly phone apps has stoped huku ukipoteza network na simu kushindwa kufungua mafail mengine na kila ukitaka kufungua ujumbe huo unajitokeza tena

Wataalamu hili tatzo linatokana na nini
Na ni jinsi gani naweza kulimaliza kabsa
Nina HUAWEI imbayo ilikuwa inaniletea hiyo msg,ambapo ikija huwezi kufanya chochote...!!Cha kufanya..!!nenda kwenye setting,ingia kwenye applications then angalia ile app ya Google voice(kama sikosei) ina rangi ya blue, ifanyie disabling na istop kabisa,hilo tatizo litaisha.
 
Pia unaweza ukaihold hiyo app ya Google itakuletea option za delete app na app info,ingia kwenye app info then disable and stop that app...!!
 
Nayangu ilianza hovyohivyo mwisho wake inazima kabisa paka ikaflashiwe nahata ikiflashiwa unakaa miezo miwili inaanza tena paka niliamua kuitupilia mbali.ilikuwa huawei y 600
Ilizima kwasababu walio kuwanaitengeza walikua hawafuti mfumo ulioliwa badala yake walikua wanaingiza mfumo mpya unachanganyika na huo wa zamani dats y ikawa haiponi
 
Nina HUAWEI imbayo ilikuwa inaniletea hiyo msg,ambapo ikija huwezi kufanya chochote...!!Cha kufanya..!!nenda kwenye setting,ingia kwenye applications then angalia ile app ya Google voice(kama sikosei) ina rangi ya blue, ifanyie disabling na istop kabisa,hilo tatizo litaisha.
Mkuu sijaiona google voice app kwenye simu yangu
 
Hiyo simu ifute kila kitu

Nilikuwa na HUAWEI Y 300 ilikuwaga na hilo tatizo nikaifuta kila kitu

Ikawa poa
 
Mkuu sijaiona google voice app kwenye simu yangu
Sina hakika kama inaitwa Google voice,ila ndiyo inahusika na voice huko whatsap ukitaka kurekodi sauti,ukiistop hautaweza tena kurekod sauti whatsap,angalia kwenye screen yako pale huwa kuna G+ na G nyingine yenye rangi ya blue,hiyo ndo I hold then ingia app info,then disable and stop...
 
Hiyo simu ifute kila kitu

Nilikuwa na HUAWEI Y 300 ilikuwaga na hilo tatizo nikaifuta kila kitu

Ikawa poa
Huawei y300 inachip inayoitwa Qualcomm na hyo 520 inachip inaitwa mediatek....simu zenye chip ya mediatek zikiingiwa na virus hata ukizifuta(kurestore) nakuanza upya huwa haziponi tatzo linarudi kwa muda mfupi...ila hizo zenye chip ya Qualcomm huwa zinopona kabsa ukizirestore ila huwa zinatabia ya kuuwa internal memory kwa urahisi kuliko mtk
 
Hata yangu wakuu inaniandikia unfortunately gallery has stopped au unfortunately Google has stopped nn tatizo! ?natumia Samsung galaxy note 4
 
Nilishuhudia jamaa yangu akipata shida na HUAWEI. Sijawahi penda hizo simu kabisa. Bahati mbaya kila nayekutana naye analalamika!
 
Back
Top Bottom