Azam Tv wanaonyesha mateso ya Bwana Yesu "LIVE"

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
36689d1c98ad048af769902076a4ba4a.jpg
 
Hiyo clouds tv... Ni Jana walionyesha live mkuu walijiunga Jerusalem.... Tulikuwa Mubashara kabisa
Hata kama walijiunga mbinguni hakuna mateso ya Yesu yaliyowahi kuoneshwa live, labda kama walionesha filamu ya muigizaji Brian Deacon aliyeigiza yeye kama ndiye Yesu hapo sawa.
 
Hivi Yesu nani alimrekodi by that time wakati kamera zilikuwa hamna?
 
Nilishangaa TV iliyojaa udini ioneshe mambo ya Yesu au ukristo. Azam ina udini wa hali ya juu hawaonyeshi hata salamu za PASAKA baresa punguza udini unaliharibu taifa letu
 
Hata kama walijiunga mbinguni hakuna mateso ya Yesu yaliyowahi kuoneshwa live, labda kama walionesha filamu ya muigizaji Brian Deacon aliyeigiza yeye kama ndiye Yesu hapo sawa.
Mkuu zoote ni historia tuu... Hata huyo Mohammed tulihadithiwa tuu...... Huyo Yesu mwenyewe tumehadithiwa tuu..... Sisi woote Dunia nzima tunaoishi kwa sasa, Hakuna aliyekuwepo.... Kwa hiyo mkuu juu ya hilo ondoa hofu
 
Nilishangaa TV iliyojaa udini ioneshe mambo ya Yesu au ukristo. Azam ina udini wa hali ya juu hawaonyeshi hata salamu za PASAKA baresa punguza udini unaliharibu taifa letu
Nadhani Sera ya Azam ni Kukuza dini yake pia.
Maana hata ajira zake zinazingatia Sera ya
Dini kwanza.
Nadhani ana upendo na imani yake.
 
Back
Top Bottom