UWEKEZAJI DAR AU MIJINI UNATOSHA SASA

SANGALUJEMBE

New Member
Apr 6, 2017
3
1
Naishauri serikari sasa ijikite kuwekeza vijijini ambako kilimo kinaweza kuwa msaada wa uchumi wetu kuliko kuwekeza zaidi dar es salaam mfano kama ujenzi wa flyovers, mwendokasi nk. ambavyo havina michango mikubwa ya uchumi.

Nashauli serikali ihakikishe kila kijiji kunakuwa na mradi wa uhakika wa kilimo cha umwagiliaji ambacho kitasaidia wananchi walio wengi kuwa na kilimo cha uhakika na hivyo kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo ambapo pia pato lao litaongezeka, pia malighafi za viwanda zitokanazo na mazao ya kilimo vitaongezeka.
Hii ni kwa uelewa wangu wa darasa la saba.
 
Back
Top Bottom