TB JOSHUA AOMBEA DUNIA AMANI.

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,232
1,982
Dunia inapitia wakati mgumu sana kwa sasa.

TB JOSHUA,katika mahubiri yake,amesema ameota.
Amesema ya kwamba ameona katika njozi,mshale ukitupwa kutoka Korea Kaskazin ukielekea mataifa mengine.

Joshua amesema mshale utakao rushwa kati ya alhamisi na ijuma,utaketa taharuki duniani.

Amesema,yeye anayajua haya mataifa makubwa,lakin watu hawa jui ni nguvu kiasi gani itakayo itikisa dunia.

Pia amedai,mshale huo utakapo tupwa,hauta haribu sehemu tuu ya dunia,bali dunia nzima itaingia katika matatizo makubwa na hata mwisho wa dunia.

Amesema tupo katika vita na mataifa ya syria,hatuhitaji tena vita vingine.

Amewata watu wa mataifa kuishi kwa amani na upendo.

Ameomba AMANI AMANI AMANI.

Source SCOAN.
 
Dunia ipo sawa tu, alishindwa kuombea mjengo wake usiue watu ataweza dunia yote? Tumbafu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom