Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Jana ktk mechi ya Toto Africans Vs Simba Sport Club, TFF waliuza ticket za mechi ya zamani ya Yanga Sports Club VS Simba Sports Club.
Mm nilipo kabidhiwa yangu ilinibidi nishangae kidogo. Make ticket tulikata Uwanja wa Furahisha na Mechi ilikuwa CCM KIRUMBA. Hofu yangu ni huenda nimepigwa CHAKA. Tiketi itakataliwa Langoni. Nikarudi na kumuuliza Askari Polisi aliyekuwepo pale akisimamia zoezi hilo. Alinihakikishia kuwa hakuna tabu. KWELI nilipo fika langoni haikuwa na shida yoyote ile.
Jameni hii ni haki au?
Je ni njia za TFF kuwa kwepa TRA?