Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

baba: mwanang naskia ajir zimetoka mbona we huna raha mtoto: izo ni sayans na hisbt mi nilisomea sanaa bab: kwanin hukusomea sayans na hesbt mwanangu? mtoto: unakumbuka kipindi nikiwa o level...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpaka sasa ninavyoandika thread hii naugua kwa maumivu makali sana juu ya nchi yangu Tanzania. Issue yenyewe ni hii hapa... Mimi nimeoa Nina mke mmoja tangu mwaka 2016 mwezi wa 10. Tulipotakiwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
TCRA KIMYA TANZAGIZA KIMYA WATU WOTE WAMEKUA WAPOFU JUU YA HILI. LA LOCAL CHANNEL Ahsanteni sana page ya fb ya TanzaSiasa kwa kuliona hili na ni kilio cha wananchi wengi hapa tz Naombeni na bunge...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam wapendwa naomba mwenye namba ya sim au mawasiliano ya moja kwa moja na Rais wa TFF Malinzi anisaidie
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Nafahamu Kadinali Pengo ni askofu wa Jmbo Kuu la Dar es Salaam ambapo makanisa ya St Peter's na St. Joseph yako ndani ya jimbo hilo lakini napenda kujua je Pengo Kanisa lake la nyumbani ni lipi?
1 Reactions
55 Replies
10K Views
Kama ilivyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema toleo Na 505 la tarehe 12-04-2017, Uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha uliitangazia Dunia kwamba Chuo hicho kimegundua aina mpya ya Chopa (Helikopta)...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa kuwachulia hatua watu wote waliohusika na uharibifu wa mlima uliopo Kata ya kitanzini miomboni kutokana na mlima...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Hivi vyama vinavyojitokeza katika kipindi cha siasa tu...hivi ni kweli vinamlengo wa kushinda...sababu ninachojua miezi ile michache ya kampeni sijui kama unajitosheleza kukutambulisha kwa...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Jitihada za serikali ya awamu ya 5 zinaendelea kuzaa matunda baada ya being ya korosho kufikia 3800 kwa kilo. Bei ya korosho juu | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today! Jambo hili ni...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Katika dunia ya sasa imezoeleka kua kila binadam anajiona kua yupo sahihi na ikitokea kua anamuamini mwenziwe basi kwa kiwango kidogo . Kwani siku za sasa ipo tabia hata ukitokewa na shida hafla...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Kiukweli kwa yeyote ambaye amefatilia taarifa ya habari ya leo kupitia channel Ten atakuwa ni shaidi.. mtangazaji wa taarifa ya habari za michezo leo..alikuwa akisoma habari za michezo za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sote tuna jua wakati wa awamu ya 3 vigogo walikuwa wako bize kujigawia mashirika yetu ya umma. Mbali na kuletewa Ma-boa toka kusini mwa Afrika ili kuisimamia Tanesco. Kuna sakata kubwa la waziri...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam sana humu! Eti wana bodi, ni kweli tumemsahau yule jamaa ndg yetu alieanzisha safari ya SOUTH AFRICA akiwa hana mwenyeji wala pa kufikia! Ni kweli hatuna namna ya kumtrace ndugu yetu yule...
2 Reactions
6 Replies
930 Views
Mapanki kumbe we mtabe kias hiki!!! Swali, Je, bwna trump atachukua hatua gani ? they already have launched a failed attempt yesterday but mmarekan amekaa kmya tu!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cheki Hii: Mwaka 2010 nimeenda kuripoti form five Ilboru Arusha.... Kesho yake nikasema ngoja niende nikazurure town niijue Arachuga ikoje... Basi, asubuhi baada ya kunywa uji wa Shule huyoooo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Taiwan imepiga marufuku mtu kuchinja, kununua au kula nyama ya paka na mbwa. Atakayekiuka sheria hiyo atatozwa faini Pauni 6,500 (TZS 18.3m) ====== Beijing (CNN)Taiwan has outlawed the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam wanaJF, Rejea kwenye kichwa cha habari husika. Kuna tabia zinaendelea kushamiri katika Mji wetu wa DSM za kufunga barabara au mitaa bila kufuata taratibu na kujali watumiaji wa njia hizo...
2 Reactions
1 Replies
734 Views
Mtu mmoja amefia nyumba ya wageni "Lodge" hapa Magomeni Kagera eneo maarufu kama "Friends Corner "Lodge ya Jumba la Dhahabu ,Haijafahamika mpaka sasa kama ni Mwanaume au Mwanamke, ILA kwa tetesi...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Manispaa ya Mbarara, kweli kwa wingi wa magari na boda boda mnashindwa nini kuweka traffic lights ?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau natafuta nyumba nzima ya kupanga Bagamoyo, Anaye fahamu anifahamishe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…