ii nimeiona kwnye uzi mwngnePamoja na Marekani kuogopwa mpaka na maifa makubwa kama China,Russia wakati mwingine wanakuwa wapole mbele ya American Eagle lakini Kim au Korea kaskazini wamuogopi ni sawa na IGP anakuja kumtamata mtuhumiwa lakini mtuhumiwa amwogopi akiambiwa kaa chini yeye anasimamia akiambiwa kaa kimya yeye anapiga kelele kama IGP inatakiwa ujiulize maswali matatu kichwan mwako
1 mtuhumiwa ni chizi
2 mtuhumiwa hana cha kupoteza na yupo tayali hata kufa
3 mtuhumiwa anawatu yuma yake ambao wapo tayali kumtetea au kupigana na ww ila walikuwa wanakutafutia sababu