Ni kweli tumemshamsahau?

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Salam sana humu!
Eti wana bodi, ni kweli tumemsahau yule jamaa ndg yetu alieanzisha safari ya SOUTH AFRICA akiwa hana mwenyeji wala pa kufikia!

Ni kweli hatuna namna ya kumtrace ndugu yetu yule au tumemsahau? Hamna anaejua hatma ya yule ndugu yetu? Jamani humu tulishiriki kwa namna mbali mbali kumpa nasaha na ushauri mwingi, vipi mwisho wake?
 
Hadi sasa haijulikani kilichompata maana hakuna feedback yeyote. Aidha kaamua kubadilisha ID au huko alipo kapatwa na tatizo au kaamua kutokuingia JF!
 
Back
Top Bottom