Ahsanteni sana TanzaSiasa kwa kutusemea kuhusu local channel

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
TCRA KIMYA TANZAGIZA KIMYA WATU WOTE WAMEKUA WAPOFU JUU YA HILI. LA LOCAL CHANNEL
Ahsanteni sana page ya fb ya TanzaSiasa kwa kuliona hili na ni kilio cha wananchi wengi hapa tz
Naombeni na bunge pia mlisemee hili
Local channel ni bure ila tunafanyiwa uhuni
ahsanteni TanzaSiasa
46dd5f045361bc9c7f95f7152811a0ff.jpg
 
hao Tanzasiasa ni akina nani katika hii nchi??
wakisema hao kitatokea nini??
kama kusema tu hata jf kuna threads zaidi ya tatu ambazo mimi nimeziona na TCRA ikiwa tagged katiki hizi nyuzi mpaka sasa hakuna kilichotokea
kama kusema ndio kutenda basi ile reli ya standard gauge saa hizi ingekuwa active
tuwekeze nguvu kwa mamlaka husika sio kusema tu

Siungi mkono hoja
[HASHTAG]#FreeLocalChannels[/HASHTAG]
 
niliwaona fb mkuu
 
Kuanzia tar 1 march TCRA imeanzisha utaratibu mpya ambao kimsingi ili uweze kutazama local channels lazima ulipie! kumekua na kama ka mzozo hivi kati ya content providers na hao jamaa wa ving'amuzi ambapo awali content producers walikua wakilipa nadhan kati ya dola 25()() na elfu tatu tofauti na sasa kuanzia march 1
 
wabunge hawawezi semea local chanel kwa kuwa siyo chama chao cha siasa yani hakuna maslahi kwao.
tulipieni tu maana ndo nchi yetu na wahusika hawasikii hata ukiwaambia vipi
 
Back
Top Bottom