Manispaa haina taa za kuendesha magari, why?

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,734
Manispaa ya Mbarara, kweli kwa wingi wa magari na boda boda mnashindwa nini kuweka traffic lights ?
 
Muulize sisonje ambae amepeleka taa chato ambalo hakuna magari wakati manispaa kibao hazina Huduma hiyo.
 
Unataka mtumie kuvushia mbuzi kama Chato? Huko hamna haja ya taa wala trafiki kwa sababu gari zenyewe manispaa nzima hazizidi mia!!
 
Kama kuna Mikoa mikubwa haina Taa za kuongoza magari hiyo manispaa sioni ajabu yeyote kukosa taa
 
Sasa kama ipo Uganda mnataka diplomasia kati ya Tanzania na Uganda ili kuwepo na Taa?

Mengine achia serikali yako itajua mipango yake kama kunafaa kuwekwa mataa utaona wameweka.

Pia jaribuni kuomba msaada jumuiya za kimataifa kama serikali itakataa kuweka Hizo taa.
 
dipolmasia ?inahusikaje hapa.... kwani kuuliza kosa, I hope wataweka hivi karibuni maana speed ya maendeleo ni kubwa
 
Muulize sisonje ambae amepeleka taa chato ambalo hakuna magari wakati manispaa kibao hazina Huduma hiyo.
ktk majitu ya hovyo humu jf wewe ni wa kwanza...unajua hata mbarara iko nchi gani?
 
We ndie juha mwambie mwanaume suruari kuwa ujuha wake unaiangamiza Tanzania.
Ameleta ukabila, udini, chuki za kisiasa na visasi.
Hatufaaaaaaai
 
Muulize sisonje ambae amepeleka taa chato ambalo hakuna magari wakati manispaa kibao hazina Huduma hiyo.
Mkuu kwani mbarara ipo Tanzania? Mbarara ipo Uganda punguza kukurupuka mzee
 
Back
Top Bottom