Binadamu waaminifu waliishia zama zipi.

chemistryj

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
238
148
Katika dunia ya sasa imezoeleka kua kila binadam anajiona kua yupo sahihi na ikitokea kua anamuamini mwenziwe basi kwa kiwango kidogo .
Kwani siku za sasa ipo tabia hata ukitokewa na shida hafla hela hata nduguyo atakwambia hana kwa kua kua tu hakuamini.
Tujuzane kwa anaejua uaminifu na upendo uliisha zama zipi.
 

Attachments

  • IMG-20170411-WA0003.jpeg
    IMG-20170411-WA0003.jpeg
    42.8 KB · Views: 20

Similar Discussions

Back
Top Bottom