baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kiukweli kwa yeyote ambaye amefatilia taarifa ya habari ya leo kupitia channel Ten atakuwa ni shaidi..
mtangazaji wa taarifa ya habari za michezo leo..alikuwa akisoma habari za michezo za kimataifa...sasa akamuachia yule mpasha habari awezekutujuza yaliyotokea kati ya chealse na Man u....kwa bahati mbaya ile sauti yake ilikuwa inakatakata...cha ajabu nikaona huyu alitupeleka kwa yule msoma habari za michezo za kimataifa akiangua kicheko....
mimi nilijuwa ataomba radhi...kwa tatizo lililojitokeza...na sikucheka....