baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Hivi vyama vinavyojitokeza katika kipindi cha siasa tu...hivi ni kweli vinamlengo wa kushinda...sababu ninachojua miezi ile michache ya kampeni sijui kama unajitosheleza kukutambulisha kwa wananchi na kukupa kura ya ushindi.
Wakisema ukata ndiyo shida ndiyo maana baada ya uchaguzi wanakaa kimya je!! Kipindi cha kampeni pesa za kuzunguka nchi nzima wanazitoa wapi???
Au hawa jamaa ni wapiga dili tu... Wachumia tumbo
Wakisema ukata ndiyo shida ndiyo maana baada ya uchaguzi wanakaa kimya je!! Kipindi cha kampeni pesa za kuzunguka nchi nzima wanazitoa wapi???
Au hawa jamaa ni wapiga dili tu... Wachumia tumbo