Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Mtu mmoja amefia nyumba ya wageni "Lodge" hapa Magomeni Kagera eneo maarufu kama "Friends Corner "Lodge ya Jumba la Dhahabu ,Haijafahamika mpaka sasa kama ni Mwanaume au Mwanamke, ILA kwa tetesi za watu wanadai ni mwanamke na Polisi hawakuweza kuzungumzia swala hili wala kuonesha mwili