Ni hatariHata mwakyembe ???????
Nimepitia magazeti ya leo mpaka waziri mwakyemba adai kuwa usalama wake hauko salama .kama mpaka waziri analalamika sijui hii mambo yako vipi View attachment 497229
Don't trust that guy.... Hata Kama ikimtokea kwake ni bifu zake za zamaniHata mwakyembe ???????
Huyu jamaa anajaribu kujiweka tu sawa huwenda ikawa nayo ni movieDon't trust that guy.... Hata Kama ikimtokea kwake ni bifu zake za zamani
Ni chameleon huyu nduguHuyu jamaa anajaribu kujiweka tu sawa huwenda ikawa nayo ni movie
ukiwajua mkuu hawakusumbui hawa watuNi chameleon huyu ndugu
Mmh tusiwe na hakika sana lakiniukiwajua mkuu hawakusumbui hawa watu
wasiwasi ni akili ,muhimu kuwa makini nae maadamu ushamjuaMmh tusiwe na hakika sana lakini
Notedwasiwasi ni akili ,muhimu kuwa makini nae maadamu ushamjua