and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,359
- 36,355
Wana JF,
Naomba msaada kwa wenye kujua taratibu za ndege/aviation, nilitaka kukwea pipa toka Dodoma to Dar sasa nimechek ATCL naona nauli 165,000/= (one-way) lakini tunatoka Dodoma to Kigoma kisha ndo tunakuja Dar...KWA UTARATIBU ufuatao;
(Reporting time 05:30am) DEPARTURE TIME (Dodoma) 07:30am
ARRIVAL TIME (Dar) 11:40am
NAULI = 165,000/=???
*** Kwa utaratibu huu si bora niweke mafuta kwenye Ki-ESCUDO changu nitoke Dodoma saa 10 alfajiri by saa 3 asubuhi nipo dar? ATC hebu fanyeni namna kutuvutia wana-Dodoma tukwee hiyo Kitu.
NB: Halafu kwenye ESCUDO yangu nikiweka na CD ya ku-burn ya GOSPEL Dom to Dar masaa 4 tu.