Sawa kaka kwanza niiweke headings tu basi wachingiaji watacheza gombani boliNimeona heading nikajua content itakua umeitendea haki, ila sivyo, umepapasa tu,
Umeacha mambo mengi ya msingi sana kujadili ishu kama utalii bado utalii ingekuwa sehemu kubwa inayo changia pato la taifa zaidi hata ilivyo sahivi , madini hapa ndipo wawekezaji wanapo tupigia bao, gas tunayo ila naona bado hatujakua na mikakati mizuri taifa linufaike, transportation sector ya uchukuzi lingepaswa liwe la kitaifa sio focus kubwa dar, kumbuka serikali inahamia dodoma so dar automatically mafoleni nk vitapungua, pia kilimo ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua sio wakulima tu hata wafugaji yani mifugo watu waanze kufuga kwa tija sio unafuga mifugo mingi halafu haikusaidi inabaki kuwa prestige tu kimila serikali itoe elimu juu ya hili nk