Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,679
- 8,421
Hakuna watanzania wa kufanya KAZI hii ya uhudumu kwenye ndege?
Hawa wamepataje work permit Hapa nchini?
Hawa wamepataje work permit Hapa nchini?
Public Relatlionship na customer care ya watanzania ipo chini. Tuanzie vbanda vya barabarani mtu unamkuta hata kukusalimia hakuna utapata morari wa kununua kitu kwake kweli?Mtu upo Airport watu wanaongea ya kwao wakati unacheck in na inabidi uende immigration na bado kuna kucheckiwa mara tatu vile hawajali. Unafika wanakuangalia kama kinyago wakati ukifika nchi za wenzetu neno ni welcome au kwa lugha yao na wewe unaigiza kwa tabasamu. TZ ni ZERO kwa kila kitu. Joto Airport, Immigration section ndogo mpaka mtu anaweza zimia pale siku yoyote wewe unakuja na hizi story. Tumetembea 5 continents hakuna nchi yenye dharau ya immigration kama TZ na halafu sehemu ya kuweka watu kama wafungwa wakati wanatuletea pesa?Hakuna watanzania wa kufanya KAZI hii ya uhudumu kwenye ndege?
Hawa wamepataje work permit Hapa nchini?
Shida kubwa ni kingereza,hamna kingine,ukijua hiyo lugha na ukapata mafunzo maalumu ya kuhudumia wateja hayo mengine yote yanawezekana.SIO ENGLISH TU, TATIZO WATZ HAWANA POLITENESS, SIO WACHANGAMFU NA HAWAJUI KU-HANDLE CLIENTS
Inamaana wewe ujaangalia Kongamano la Kiswahili lililofanyika pale Nkuruma UDSM? walisema tunapata tabu sana kwenye Kidhungu tuamue sasa kujifunza Kiswahili chetu kitatutoa tu siku moja, tehe tehe tehe tehe eti Kidhungu ni taaaaaabu jamani.Ni changamoto watz tujifunze Kiingereza kizuri shida ni hapo tu!
Dar-MWZ kunataka kiingereza/kachina?Biashara za ndege sio kama duka la nguo. Kwenye ndege unaajiri kutokana wingi wa wasafiri unaowapata. Kama ndege ni ya Tanzania na inapata abiria wengi wa kichina, basi inabidi uwaajiri wachina japo wachache wakusaidie kuelewa utamaduni wa abiria wa kichina.
Kwani hakuna wachina wanotoka Dar kwenda Mwanza, au kuna Watanzani wanojuwa kichina? Anyway Mimi nilitolea mfano tu kuhusu wachina. Lakini mada ilikuwa kuajiri waafrica kusini. Na navyojuwa mimi fastjet inakwenda Africa kusini, na tunapata watalii wengi kutoka Afrika kusini.Dar-MWZ kunataka kiingereza/kachina?
Kuna dada mmoja alini harass kwenye fast jet sitokuja sahau. Nilikua natoka Zanzibar kwenda Dar, sasa nikapoga picha akati napanda ngazi, kumbe yule dada alikua mlangoni so ile flash (ilikua usiku saa 2) ikammulika, mwee yule dada aliogomba jamni, utasema nilimpiga picha makusudi. Afu siku ike nilikua mpoleee, nilimjibu kistaarabu sna hadi badae nkawa najishangaa. Lakini mdada alikua na kibri na jeuri balaa.. Kweli wabongo ni sheeeda, acha tuu waajiri hata waSudanSIO ENGLISH TU, TATIZO WATZ HAWANA POLITENESS, SIO WACHANGAMFU NA HAWAJUI KU-HANDLE CLIENTS
Kuna dada mmoja alini harass kwenye fast jet sitokuja sahau. Nilikua natoka Zanzibar kwenda Dar, sasa nikapoga picha akati napanda ngazi, kumbe yule dada alikua mlangoni so ile flash (ilikua usiku saa 2) ikammulika, mwee yule dada aliogomba jamni, utasema nilimpiga picha makusudi. Afu siku ike nilikua mpoleee, nilimjibu kistaarabu sna hadi badae nkawa najishangaa. Lakini mdada alikua na kibri na jeuri balaa.. Kweli wabongo ni sheeeda, acha tuu waajiri hata waSudan