Ziara za kushitukiza pale Muhimbili hakuna tena?

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,071
1,317
Nimesikitika na kushitushwa na habari aliyotoa dada yetu wa kule ng'ambo kuona wazazi wakiwa wamelala chini pale Muhimbili Hospitali.

Swali langu ni je lile jengo aliagiza jpm litumike kama jengo la wazazi lilitumika kama alivoagiza? au baada ya kuacha ziara za kushitukiza pale wameligeuza tena kuwa ofisi?

Mamlaka husika shughulikieni hili swala bana sio mpaka ziara za mukulu tu ndo mrekebishe.... dada zetu na mama zetu kulala chini si sawa kabisa
 
Hata kipenz cha watu (msoga boy) alifanya mbwembwe mwanzo upepo ukakata ilipofika 2006 ko usishangae kwa ambae ndo kabsa ............... (kidole koma) kukata pumzi mapema hivi
.
.
.
Kyenekyaka nkighanile une
 
Back
Top Bottom