mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Swali la nyongeza limeulizwa bungeni asubuhi ya leo tarehe 18/04/2017, kuwa baada ya UHAKIKI watumishi hewa na kuwapata takribani 20,000/- ni jambo zuri sana,
Lakini mpaka sasa serikali imeondoa watumishi hao hewa na cha ajabu
Mpaka sasa ipo kimya kutoa ajira mpya kwa vijana mbali na kuwa na mahitaji makubwa ya watumishi,
Je, nini kauli ya serikali kuhusu kutoa ajira mpya?
Mbunge(mwl) akataka kusikia kauli ya serikali kuhusu ajira mpya sio kukaa kimya tu.
Swali halikujibiwa na waziri wa utumishi, Speaker wa Bunge akaelekeza swali hilo atalijibu na kulitolea ufafanuzi kwenye hotuba yake hapo badae, sasa hakuna bunge live tena!
Updates tupeane kuhusu hili na kuhusu nyongeza za mshahara na uhamisho zikatolewa ufafanuzi hapo badae!