MH MAGUFULI TANROADS WANAKUKOSESHA MAPATO YA KODI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
WALE MNAOFANYA BIASHAR UBUNGO KIMARA MTAKUWA MNANIELEWA ZAIDI

MH RAISI WANANCHI WANATAKA KULIPA KODI LAKINI MKITAKA KODI ZA MABANGO NAZO ZILIPWE MANISPAA NA ZILIPWE TANROADS HUU N UPOTEVU WA MAPATOO



WANANCHI WALIOKUWA WAKILIPA MANISPAA MABANGO KWA KAMPUNI
YA UBAPAA WANAFWATWA NA TANROADS WANAAMBIWA WALIPE PIA TANROADS MABANGO YAKO ENEO LAO BARABARANI

NINA DUKA NJIANI NIWEKE BQNGO CHOONI JAMANI??HATAREE SANA

KIUKWELI WENGI TUMEAMUA KUONDOA MABANGO NA MBAYA MTU WA TANROADS ANAKWAMBIA ATI AWAPATI HELA SERIKALINI WANATAKIWA KUJIONGEZA KWENYE VYANZO VYA MAPATO HII N HATAREE SANA

KAMA AMUWAKUBALI MANISPAA TUAMBIENI TUKALIPE TANROADS UKIU'IZA ANAKWAMBIA LIKO NDANI YA BARABARA YAO..AISEE

MH WAZIRI HUSIKA MSAD PLS
 
Back
Top Bottom