Kuna taasisi isiyokuwa ya kiserikali ambayo makao makuu yake yapo Kenya na Tanzania imeanza kufanya kazi.
Moja ya majukumu yake ni kusaidia waathiri wa virusi vya Ukimwi kwa kuwapa chakula,madawa, na bidhaaa mbalimbali.
Lakini kuna tetesi kwamba vitu wanavyotoa ni vile vilivyoisha muda wake lakini pia wanafanya biashara kinyemela ili kukwepa kodi na mbaya zaidi tetesi zinasema wanajihusisha na biashara haramu za mirungi kwa kusema ni herbals kwa ajili ya msaada.
Tunaomba wachunguzwe kama ni kweli na wachukuliwe hatua mara moja kabla madhara makubwa kutokea.
Naipenda nchi yangu Tanzania