Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 657
- 1,554
Hili tukio limetokea jana usiku mida ya saa 6 usiku Mwananyamala, watu wanawake kwa wanaume kama 7 walikuwa wamekaa kwenye mgahawa wanakunywa, ghafla ilitokea gari aina ya Noah ya kijivu ikaja ikawachukua kwa kutumia nguvu, wao walidhani ni polisi. Watekaji walikuwa na bastola
Wakapelekwa maeneo ya Kunduchi kwenye jumba ambalo halijaisha, wakabakwa na wabakaji walikuwa wanapeana zamu kuwaingilia. Kutokana na maelezo yao hao watekaji sio watanzania ni watu wenye asili ya nchini Nigeria ama watu wa West Africa.
Hii ni kutokana na sababu walikuwa hawaongei Kiswahili na wako na lafudhi ya huko. Tukio limetokea jana na wengine wametoa taarifa polisi lakini wengine wanaogopa aibu sababu wanaume pia walilawitiwa.