BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Wewe upo Rufiji?Huku kuna taharuki kubwaa .cha ajabu polisi wanapiga watu na kupora madukani .wanapora mawakala wa huduma za kifedha .ukifungua biashara yako unafilicwa yaani polisi wamekuwa vibaka huku.wanaumiza bodaboda na kuua pikipiki .nchi hii kama hakuna serikali
PoleniHuku kuna taharuki kubwaa .cha ajabu polisi wanapiga watu na kupora madukani .wanapora mawakala wa huduma za kifedha .ukifungua biashara yako unafilicwa yaani polisi wamekuwa vibaka huku.wanaumiza bodaboda na kuua pikipiki .nchi hii kama hakuna serikali
Kuna ulazima awe rufijiWewe upo Rufiji?
Mchochezi na Muongo mkubwa mpotoshajiWewe upo Rufiji?
Nani mchochezi?Mchochezi na Muongo mkubwa mpotoshaji
Busara inahitajikaNadhani mahusiano mabovu kati ya Polisi na Raia ndiyo tatizo,maana kulikuws na uwezekano mkubwa wa Polisi kupata taarifa za kihalifu haraka zaidi kutoka kwa wanaachi,sasa kama raia wanateswa/kupigwa na Polisi,itakuwa kazi ngumu sana kwa jeshi la Polisi kufanya kazi zao..