mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Wakuu kwanza habari. Poleni na majukumu kwa ambao tayari wako mahangaikoni kama mimi lakini pia Asubuhi njema kwa wanaoamka na waliozidi kung'ang'ania mashuka.
Naomba nianze makala yangu ifuatavyo
HILI NI LA KUTIA HATA AIBU SASA.
Kwa akili za kawaida tuu ukiona unalazimisha watu kununua kitu unachouza kuna mawili
1) hawakitaki
2) hakina ubora.
Huhitaji kunambia mara mbili au kunishawishi kuangalia muvi za huyu jamaa. Kwa sababu yupo on point na acting yake unaiona. Muvi imeshiba content na contest...
Wasanii kama kina Mellissa, Angelina Jolie na wengine wengi wanaact unamuelewa.
Ukitaka kujua hawa jamaa ni maPro tizama Fast and Furious jinsi walivo handle the death of Paul Walker. You feel pain yet entertained.
Sasa hawa ndugu zetu wanaoamka leo na kuanza kuandika muvi keshi imeisha kesho kutwa wanaingia studio alhamisi muvi iko sokoni, kwa hali hii si mtatupiga mpaka mabomu ya machozi tuangalie muvi zao?
Maoni yangu hasa kwa hawa wasanii wetu...
1) MUVI ZENU ZIWE NA BAJETI YA MAANA
Sijui sana kuhusu ili kwa sababu sijawahi kujihusisha na bongo muvi ila kwa kuangali casting na credits utajua tu bajeti ilikua ndogo.
Director "vishenti kingosi"
Editor "vishenti kingozi"
Producer "Vishenti kingozi"
Bado yeye ndo main character sasa ukifanya kazi zote hizo huoni kulemewa???
2) ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA
Kupeana scene na vipande kwa kujuana bila kujali kama mtu anaiweza io character pia ni kujiangusha wenyewe.
3) ELIMIKENI
Hapa siongelia swala la "what" "how" ama kuchanganya inglish katikati ya muvi zetu. Hilo mi naona ni la kawaida infact naomba mtie bidiii. Mbona muvi za wenzetu kina "Kevin Hart" wanachanganya mpaka na "Kimexico" katikati? Shida inakuja pale unapomtazama "IRINA UBOYA" akifanya shopping supermarket dakika 10 nzima.
Ni kwamba hamna play au ndo mmepanga kufanya ivo?
4) PART 1 AND 2
Naomba huu ujinga muache. Mkishindwa kabisa iteni tu CD-a na CD-b maana hakuna story ndefu kiasi kwamba haitoshi movie moja mpaka muitengenezee Franchise. Alafu cha ajabu unaambiwa "watch out part 2" unafungua kasha unaweka part 2.
Inatakiwa kama part one imetoka leo ipe muda wa kuuza hata miezi minne wakati huo ukiwa unaandika na kushoot part 2.
NAMALIZA KWA KUSEMA, MSITULAZIMISHE KULA VILIVOOZA. PIKENI VINONO VYENYE HARUFU NZURI TUTAVIFUATA WENYEWE MADUKANI.
imeandaliwa na FELIX JUSTINE