Kagari kazuri sana aisee, pole sana mkuu
Unapo toa taarifa za namna hii tafadhari ambatanisha na taarifa ya police maana kuna wakati mnaweza mkawa mliuzuana na mmegeukana.
Kwa umri huo hujui cha kufanya?!Sasa unaomba msaada hujasema chochote,mtu akiiona kwa mfano afanyaje? Hakuna mawaslino au hata maelekezo ya police...