Binti255
Senior Member
- Nov 28, 2016
- 126
- 160
Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake.
Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha kwanini wasiwe wanatoa heko kwa baadhi ya mambo mazuri yanayofanyika.
Hatuwezi tukakaa na kupotosha kila jambo yapo mambo yanahitaji usimamimizi wa kupewa habari kwa kina zaidi hili suala la Vodacom kuongeza muda kwenye IPO (Hisa) si kutokana na watu kutokununua hapana maombi maalum ya kutokana ongezeko la wateja kama kawaida yetu tunapenda sana kufanya mambo ktk deadlines sana.
Wapo waliochukua mfano kutoka kwa wakala mmoja ambaye ni Orbit Securities aliyeidhinishwa katika ukusanyaji wa awali wakisema ameshindwa kufika lengo walipanga kuuza hisa za bilioni 200 lakini mpaka sasa wameuza hisa za bilioni 150 hadi jana Tarehe 19 lakini wapo wateja wengine waliomba kuongezewa muda.
Je kuuza robo tatu ya hisa kwa wakala mmoja aliyeidhinishwa ni kushindwa kufika lengo? Hii si sawa biashara ya hisa ina changamoto nyingi sana.
Kampuni ya Voda waliwaidhinisha mawakala zaidi ya 14 katika uuzaji wa hisa zenye thamani inayakadiriwa kufika bilioni 476 ambazo Vodacom wanatarajia kuzikusanya.
Mawakala wa ukusanyaji wapo 14 projection ya wakala mmoja haitoi Picha kamili ya biashara jinsi ilivyofanyika kwanini kikundi cha wapotoshaji kikae na kusema habari zisiokuwa na chembe ya ukweli asisubirie taarifa za mwisho kutoka kampuni husika wakatoa idadi ya jumla ya idadi ya hisa zilizouzwa?
Shares za Vodacom nimezifuatilia. Kupitia prospectus yao nikaisoma. Presentation ya financial statements zao za mwaka 2016 na projections ya 2017 na 2018 zinavutia sana kulinganisha na kampuni nyingine zinazofana na Vodacom.
Annual revenue yao ni kubwa around bilioni 900 mpaka 1trillion.
kwa short term wakiweza kuziuza hisa baada tu ya IPO kufungwa kuna uwezekano wa price kupanda juu na hii pia inategemeana na hali ya uchumi wa nchi.
Na sera yao ya gawio ipo wazi kabisa baada ya Faida asilimia 50 baada ya kukatwa kodi kwa mwaka na Gawio litakwenda kwa kila mwanahisa wa kampuni.
Mfano unamiliki hisa 100 na kampuni imegawa labda shingi 5 kwa kila hisa ni 100 x 5= 500
IPO bado muda wake kumalizika wateja tumesikilizwa mimi niliomba muda uongezwe kwa niaba ya wananchi wangu pia ndugu yangu Zitto Kabwe aliomba muda uliowekwa ulikuwa ni mchache mwisho ni tarehe 11 Mwezi wa Tano vodacom watatupatia mrejesho baada ya hapo.
Kwa rational investor ukifanya mahesabu utaona kwamba investment kwenye Vodacom ni best choice kwa current financials na projections ya 2017 na 2018. nimefanya share performance ratios nimeliona hilo.
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Nunuahisa[/HASHTAG]