Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,176
- 1,680
Habarin wanajamvi, natumai tupo pamoja.
Kuna jambo linanikwaza na kwa kuwa hii ni sehemu yenye great thinkers nina imani mtanisaidia.
Mimi ni mlezi na ninapokea malalamiko kutoka kwa mwanangu ninayemlea, amekuwa akinilalamikia sana juu ya mwalimu ambaye anauchu na amekuwa akimtaka kimapenzi.
Nimejaribu kumfahamu mwalimu huyo na nikafanikiwa, sasa nimepaniki. Nisaidieni nifanyaje?