Wanawake na Wasichana ndiyo maneno sahihi ya kiswahli, yaliyobaki yote utumiwa na wachungaji wa makanisa ya pentekosteWamama, Wadada, Wanawake, Wasichana.
Nashindwaga kuyatumia Labda Wamama.
Mku... Mama ana pimbi... Ni neno au umeteleza?Anaanza Msichana, Kwa heshima tunamuita Dada.
Akitoka Usichana anakuja kuwa Mwanamke(Aliyepevuka)
Akitoka kuwa Mwanake anaweza kuja kuitwa mama(Kwa uwezo wa Maulana, Maana yeye ndio mjaliwa wa kukufanya Uitwe mama(kuwa na mtoto) Maana si kila Mwanamke/Msichana ni Mama ila Mama always ni Mwanamke.
Mama ni Mwanamke/Msichana aliyezaa.
Mama pia inatumika kama Heshima ya kumuitia mtu 'Mama Ana Pimbi'.
Ni aina fulani ya matunda pori/hayaliwi lakini yanafanana kwa mbali na ngogwe. ngoja niyatafute niweke picha yake. Wanadai ni dawa ya kuivisha jipu pia mizizi ya mti wake ni dawa ya tumbo.ndulele lina maana gani?
Kwetu tunaita tunguja
Duuh.. jina gumu. Nazifahamu kwa jina la ndulele.Kwetu tunaita tunguja
Dodoma zinaitwa ntulantula a.k.a ntulantu.Kwetu tunaita tunguja
we ndo umenikoroga kabisa aiseeeeAnaanza Msichana, Kwa heshima tunamuita Dada.