Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Wana bodi amani iwe mioyoni mwenu.
Yule askari wa barabarani bwana Malisa aliyepata majanga barabarani na kupumzishwa nyumbani kama mwaka hivi akiuguza majeruhi aliyoyapata kutokana na ajali ile amerudi tena mzigoni.
Malisa anajulikana kama kiboko ya "wachepukaji" na wavunja sheria za barabarani.
Kadhalika wrong paking za madreva tax.
Malisa naimani atauendeleza uadilifu wake wa kutumikia jeshi la polisi kitengo cha Traffic police barabarani.