Vip tukaiga na sisi ili tupunguze gharama za sensa na takwimu mbalimbali kama kujua idadi ya vifo, magonjwa mbalimbali yanayowakumba watu bila kwenda hospitali, kupiga kura bila kwenda kituoni...
Wanajamvi,
Hawa jamaaa baada ya kukata watu asilimia 15% wamekaaaa kimyaaaa hahahaha wanafukiri ndo wemefukia mashimo wa hela walizokula kama wanafunzi hewa.
Ukweli uko pale pale watu kibao...
Habarini wanabodi…!!!
kupitia habari ya Azam Two ya April 20, 2016 aliyekuwa waziri wa habari ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mtama , Nape Nnauye amekiri kuwa kuondolewa kwake kwenye nafasi ya...
TAMKO LA TUCTA: Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya asema shirikisho litakwenda kortini kuzuia serikali kukata wafanyakazi asilimia 15 badala ya 8 mkopo elimu ya juu.
=====
TAMKO HILI LIMETOKANA NA...
wakuu ninaomba ufafanuzikuhusu hili jambo hivi:
Hivi Watanzania wenye asili ya mataifa mengine kwa mfano WAHINDI,WAARABU,WASOMALI,WANGAZIJA,WABAAJUN n.k wanajazaje kipengele cha "KABILA...
Jamani nimekuwa mtazamaji sana wa hiki kipindi lakini kuna kitu kimoja kinanikera sana haswa tabia za waendeshaji(Watangazaji) wa kipindi hiki. Mfano kuna huyu Mtangazaji Maulid Kambaya anapenda...
Rais Magufuli amekutana na viongozi wa TUCTA Ikulu DSM leo
Edwin Kamugisha TZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli, leo April 20 2017 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi...
Wiki hii yote watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachokuwa hewani kuanzia sa7 mchana mpk saa10 Lugha wanayotumia watangazaji si nzuri na haifai katika jamii.
Habari wakuu humu!
Nina vifaa vya muziki ambavyo ni spika bass moja na mid 2 ambazo ni double kila moja. Natumia powered mixer ila nataka niongeze na ka booster. Natamani ninunue mpya ila uwezo...
Salam wanaboard..
Straight to the point:
Nimekuwa nikifuatilia sana matukio mbali2 nchini ki ukweli jambo lolote linalohusisha mtu wa kipato cha chini hata kiwe kinaumiza kwa kiwango kipi...
Hivi unaweza kweli kuangalia bongo movie kwa huu upupu wanaoigiza..
Katika movie ambazo huwa zimenishinda kuangalia ni bongo movie. Yani hazina mzuka kabisaaaa,ubunifu umepotea,wasanii...
Kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV kinachoendelea mchokoza mada wa Bandari anasema Bandari..TPA gharama ni za kawaida.
Na kuna Mamlaka nyingi za Serikali zilizopo kisheria zilizoshirikiana na...
Sasa ni dhahiri kwamba Nappe anaumwa na anahitaji msaada wa daktari. Kitendo cha kila wakati kukumbuka matukio aliyofanya zamani ni dalili mojawapo ya Hyperthymesia.
Hyperthymesia ni tatizo la...
NJIA YA KIGANJA CHA MTOTO
Njia hii ya kumuita jini muovu aliyehasi na kumtumia kwa kutumia kiganja cha mtoto mdogo ambaye hajabalehe ni njia inayofahamika sana na wachawi sababu ni miongoni mwa...
Nimekubali ule msemo Wa ndege wafananao huruka pamoja!
Mwenzenu nilinunua Kiwanja cha million moja huko majoe ndani ndani!
Madalali waliniambia kwamba nisiwe na wasiwasi njia ipo, lakini cha...
Nimekwenda Uhamiaji Kurasini kwa lengo la ku renew passport yangu. Taratibu zote zilifanyika bila kikwazo chochote wala mizengwe yoyote. Niliambiwa nirudi baada ya wiki ili kuchukua passport...
Habari zenu wadau wenzangu!
Naombeni mnisaidie wenye uelewa kidogo na uwakala wa tigopesa na mpesa,maana mimi nimekuwa wakala sasa yapata miezi sita ila kuna suala ambalo nakuwa silielewe kwenye...