Usanii wa Tigopesa na Mpesa

miss mike

Senior Member
Aug 25, 2015
176
248
Habari zenu wadau wenzangu!
Naombeni mnisaidie wenye uelewa kidogo na uwakala wa tigopesa na mpesa,maana mimi nimekuwa wakala sasa yapata miezi sita ila kuna suala ambalo nakuwa silielewe kwenye hii biashara,maana naweza nkapiga mahesabu yangu ya kufunga siku halafu kesho asubuhi nakuta pesa pungufu nkifungua mahesabu,je kuna usanii wowote ambao mawakala wenzangu mnahisi yashawahi kuwatokea kama suala hilo langu,inawezekana labda kwenye system wakanifanyia figisu figisu halafu wanachukua pesa bila kufahamu mimi wakala??Au ni usanii tu ambao kijana wangu wa kazi anaweza akawa anaufanya halafu mimi nahisi ni figisu za tigopesa na mpesa,maana napata loss ya laki kwa siku muda mwingine!
Mwenye uzoefu msaada wakuu wenzangu
 
Ukifunga mahesabu yako ya siku screenshot balance iliyobaki ya mpesa/tigopesa,kesho yake asubui angalia salio tena kama linafanana na la siku iliyopita.
 
Aiseeeee ntakuwa nafanya hivyo hvyo daily,maana tukio likitokea,nakaa kama siku nne tano halafu linajirudia tena,afu pesa inakuwa ni ndefu mno,unakuta laki kama hiyo jana au elfu 20 haiwagi chini ya hapo,zamani wakati naanza nlikuwa na kidogo tu,ila sasa hivi mtaji umeongezeka kidogo ndo naona na figisu zinatokea!
Ila nitafanya hivyo
 
Hii biashara siku hizi unaifanyia kampuni tu tofauti na walivyoanza ilikuwa kupata 700,000-1,000,000 kawaida tu siku hizi laki mbili ukaze mkund... Kweli
 
Mkuu hii biashara hicho ukisemacho ni kweli kabisa, yani zile commission zingekua zinaungana kati ya mwezi hadi mwezi, tungekua tupo mbali sn. Lkn dah ni shida tupu. Mimi mwenyewe ndo nimetoka kubalance hapa sasa ivi nimepata shoti 25000 ki ukweli mi nadhani hakuna chuma ulete wala nini ila itakua tunawazidishia wateja, au kuna watu tunawaekea hawakupi cash. Lkn pia kwa upande wa Tigo kuna watu wasio waaminifu yaani anaweza kuja mteja akatoa ukamlipa Cash kisha inarepotiwa wanaiondoa ktk account yako kimya kimya wanasikilizia mchezo baada ya siku 3 inarudi kwa alietoa bila kukuhoji wakala wala nini. Mimi nisha pataga hasara hiyo mara mbili na mara mbili nyengine nilifaanikiwa kuokoa. Hivyo kuwa makini sana hasa salio jipya la tigo kila ufanyapo muamala
 
Aiseeeee ntakuwa nafanya hivyo hvyo daily,maana tukio likitokea,nakaa kama siku nne tano halafu linajirudia tena,afu pesa inakuwa ni ndefu mno,unakuta laki kama hiyo jana au elfu 20 haiwagi chini ya hapo,zamani wakati naanza nlikuwa na kidogo tu,ila sasa hivi mtaji umeongezeka kidogo ndo naona na figisu zinatokea!
Ila nitafanya hivyo

Ndio solution hiyo,hakikisha unazitunza hizo screenshot vizuri.
 
Back
Top Bottom