Kahama&Shinyanga hamjanitendea haki Mimi Deo Kisandu.

Kahama&Shinyanga hamjanitendea haki Mimi Deo Kisandu.

Hivi Roma Mkatoliki atakuja kuwa kama huyu jamaa?
 
ha ha ha haaa...nilikuwa najiuliza mbona sijaona kichekesho cha kupumzikia!?

Hakika unahitaji TUNU kubwa ktk Taifa hili!

heko heko Kisandu kajenge nchiiiii heko heko Deo kajenge nchii
 

Nyoko nyoko,, mimi usiniweke kwenye kundi hilo maana sikujui hunijui!! Yaani wewe ndo unataka Shinyanga na kahama zikutendee badala ya wewe kuzitendea? Unaumwa wewe na pindi ukijidai kwenda Mirembe haki ya nani hurudi!!
 
Deo unahitaji kupewa waangalizi wa umoja Mataifa kutoka kitengo cha WHO ambao watakuwa na kazi ya kukurudisha katika uzamani wako.

Pole sana mkuu
 
Wakazi wa mwanza mumeshindwa kabisa kumsaidia ndugu yenu ?
 
Aliyekuloga atakuwa ameshakufa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom