Bongo movie ishajifia

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,958
Hivi unaweza kweli kuangalia bongo movie kwa huu upupu wanaoigiza..
2017-04-20 22.17.03.png


Katika movie ambazo huwa zimenishinda kuangalia ni bongo movie. Yani hazina mzuka kabisaaaa,ubunifu umepotea,wasanii wamejiingiza kwenye siasa ambazo ndo zinazidi kuwaharibia.
Jana tumeshuhudia baadhi ya wasanii wakiandamana na RC eti kupinga movie za nnje huku wakiwa wamevalia t-shirt za kumsifia Bashite. Hawajielewi kabisaaaa kazi kupiga siasa zisizokua na maana,angalau kuna wenye akili kama akina Nyerere wamegoma kufwata upepo wa wasiojielewa.
Hili swala linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote,haiwezekani watu wachache wawanyime vijana wengi kiasi hicho ugali na zaidi ya yote wanawapa hasira watanzania kutonunua hizo movie zao.
 
Back
Top Bottom