Bandari wakana kupandisha gharama,wasema ni Mamlaka zingine zimepandisha..wadai wana juu!!

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV kinachoendelea mchokoza mada wa Bandari anasema Bandari..TPA gharama ni za kawaida.

Na kuna Mamlaka nyingi za Serikali zilizopo kisheria zilizoshirikiana na TPA ndizo kila moja ana taratibu zake za malipo kisheria.

Mamlaka hizo ni TBS,TFDA,TRA,Mkemia Mkuu wa Serikali,Wakala wa Forodha,n.k

Na wadau wanalalamika hawashirikishwi ktk upandishwaji wa gharama

Wadau wadai wametembea Bandari za Mombasa,Beira,za South Africa, kuna baadhi ya malipo kwetu yapo na huko hayapo kiasi imechangia wafanyabiashara kupunguza Bandari ya Dar es salaam.
 
TRA kinara wanakamua maziwa mpaka yanatoa damu shit tunaoumia ni sisi wa hali ya chini navoandika apa bidhaa nying za vyakula kutoka nje na bidhaa za urembo na vitu vingine vimepanda sana jaman huu sasa ni zaid ya mfumuko wa beh uku purchase power ipo chini sana naiwaza hii tanzania ya viwanda ....
 
Back
Top Bottom