NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,951
wakuu ninaomba ufafanuzikuhusu hili jambo hivi:
Hivi Watanzania wenye asili ya mataifa mengine kwa mfano WAHINDI,WAARABU,WASOMALI,WANGAZIJA,WABAAJUN n.k wanajazaje kipengele cha "KABILA LAKO"katika fomu ya kuomba kitambuliaho cha Taifa?
Na je kwa mfano ukajaza "Mhindi"je utatambuliwa kama raia wa Tanzania? au itakuwa utata yena kuhusu suala la
URAIA?
NATANGULIZA SHUKRANI