Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Vip tukaiga na sisi ili tupunguze gharama za sensa na takwimu mbalimbali kama kujua idadi ya vifo, magonjwa mbalimbali yanayowakumba watu bila kwenda hospitali, kupiga kura bila kwenda kituoni, kupata taarifa za afya bila kwenda hospitali nk
Maelfu ya raia wa Sweden wameanza kuwekewa microchip chini ya ngozi zao ili kukwepa adha ya kukumbuka password mara kwa mara.
Kwasasa chip hizi zitasaidia kufuatilia afya muda wote kwa kutumia simu, komputa na vifaa vingine. Lakini siku zijazo zitaweza kutumika kwenye sensa, kupiga kura kwenye chaguzi ukiwa kwako au sehemu yoyote bila kwenda kituoni, kupewa taarifa za afya yako bila kwenda hospitali na hata katika kufungua milango, kufanya miamala, kuhifadhi taarifa na mengine yatakayoendelea kuvumbuliwa kila siku.
Microchip ni kawaida kwa mbwa na wanyama wengine wa kufugwa kwasababu husaidia kufuatilia maendeleo na hata akipotea inakuwa rahisi kumpata.