Lugha inayotumika kipindi cha XXL clouds Radio si nzuri kwenye jamii

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Wiki hii yote watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachokuwa hewani kuanzia sa7 mchana mpk saa10 Lugha wanayotumia watangazaji si nzuri na haifai katika jamii.
 
Hicho kipindi kwanza ni kwa ajiri ya watu wasiokuwa decent acha mbali lugha. Redio yenyewe ya hovyo na ndo maana utakuta watu kama sie tulishawaachia wapuuzi ndo wakatune clouds. Ni kituo immoral kuanzia chenyewe hadi watangazaji wake by 95%
 
Siyo wote wasikilizaji. Embu tuwekee baadhi ya hayo matamshi yao tuyajue
Habari na story zao ni chafu sana kwenye Masikio ya watoto hasa kizazi iki.
Wanakera na Lugha yao hiwezi kusikiliza Mbele ya Mtu unayemuheshimu ni aibu ndani ya gari watu wate kimya mpaka unabadili stashen.
 
Hicho kipindi kwanza ni kwa ajiri ya watu wasiokuwa decent acha mbali lugha. Redio yenyewe ya hovyo na ndo maana utakuta watu kama sie tulishawaachia wapuuzi ndo wakatune clouds. Ni kituo immoral kuanzia chenyewe hadi watangazaji wake by 95%
Hapo unazungumzia redio pendwa ya mkuu wa kaya 'mtukufu' sana!
 
Crouds ni redio iliyoajiri wahuni wenye vipaji.... So simile ikiwatoka ndo hap wanapoanza kupayuka na kubwabwaja...
Hii ni moja ya redio za hovyo hovyo ila ina bahati ya kupendwa na wasikilizaji hasa Bashite.
 
Subirini tu.Watamkumbuka Makonda hawa wahuni.Walifikia kuhoji mpaka mashoga huku yakijisifia,ilikuwa kituo kizima kile ban ya mwaka mzima,lakini Makonda aliwasaidia sana.Sasa hawana tena mbeleko watakosea tu
 
baada ya Bashite kutengwa kama mgonjwa wa ukoma umepanic.
dc7681a55dfc72fd44e0c9e83103b789.jpg
 
Utii ukizidi unakuwa ni unafiki....
Niwatu wanaoeneza unafiki na ufuska kwa kasi ya mwanga kwa sababu ya utii wa mtukufu!!
 
Hicho kipindi kwanza ni kwa ajiri ya watu wasiokuwa decent acha mbali lugha. Redio yenyewe ya hovyo na ndo maana utakuta watu kama sie tulishawaachia wapuuzi ndo wakatune clouds. Ni kituo immoral kuanzia chenyewe hadi watangazaji wake by 95%
Unamaanisha hata ndg Dr prof mh. Na yeye ni ...
 
Mheshimiwa tuwekekee uthibitisho.

ili kuonesha ukweli wa taarifa.
Ukweli au warudie kipindi cha siku ya jana tar19 story zao ni ujinga wa hali ya juu,Wanafanya Wasikilizaji wote wakinga kwa kweli ni aibuuu sana
 
Wiki hii yote watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachokuwa hewani kuanzia sa7 mchana mpk saa10 Lugha wanayotumia watangazaji si nzuri na haifai katika jamii.
hii radio na tv kwa kweli inatumika kuingiza maadili mabaya kwa vijana. sijui kama kuna mzazi anaweza kusikiliza wakiwa familia sebuleni na vijana wake. ni kujengea vijana tabia za kihuni tu ndio kazi yao.
 
Kuna watangazaji walikuwa wanatangaza kwa weredi mkubwa walipokuwa sehemu nyingine kama mamy baby, kenedytheremedy lakini ukiwasikiliza sasa hivi aibu tupu, labda ndio maisha waliyojichagulia
 
Back
Top Bottom