Mkuu kiukweli toka moyoni cable nzuri ni East African cable waya zao ni quality sana,izo ulizoandika hapo juu zinasubiri kwa east african cable,kama uwezo wako ndo huo chukua MclWakuu habari za jioni,
Naombeni Msaada wenu kuhusu cable ipi nzuri kufanyia wiring ya nyumba kati ya hizi
* tronics
* Mcl
* mmi
* master