Ndugu mliopo humu JF
Naomba ufafanuzi wa hizi nafasi na kazi zake na zinatumika sehemu gani..
1. CEO---chief executive officers wana apply wapi na kazi zao ni nini
2. Directors---hawa wakurugenzi...
Nimekutana na mke wa DAUDI BASHITE hivyo inatakiwa nizae naye leo leo maana yeye ameshindwa kumzalisha hivyo inatakiwa nispend naye maeneo ya ilala hadi jumapili jioni ila hotel iwe na ulinzi wa...
1. Wekeni mtaji wa kutosha ili kutengeneza movies zenye ubora na uhalisia. Kwa gahrama za kuandaa movie ya 3M mtawauzia ndugu, jamaa na rafiki zenu tu.
2. Utunzi wa hadithi ujae ubunifu. Video...
OK, bongo movie wajiulize ni kwanini movie zao zimeshuka sana kimauzo katika awamu hii ya tano? Kwa akili zao fupi (ndio maana wamemkimbilia bashite) eti wanajidanganya kuwa ni kwa sababu ya movie...
Habari za kushinda wanaJF,
Imekuwa ni kawaida ya wanasiasa wa hapa kwetu kuahidi mambo makubwa wanapokuwa kwenye mikusanyiko mbalimbali kama vile majimboni, vijiweni na sehemu zingine, lakini...
Habari za wakati huu wadau. By jumanne ya tarehe 02/05/2017 natakiwa niwe Nairobi.
Sijawahi fanya safari za upande huo. Nilikuwa naomba maelezo ya jinsi gani naweza kusafiri hadi kufika kule...
Utawezaje kumuamsha aliyelala ukiwa umelala? Kamwe huwezi kumuamsha aliyelala ukiwa umelala ni lazima kwanza uwamke ndo uweze kumuamsha aliyelala.
Hivyo hivyo kwenye biashara na ujasiriamali hii...
Changamoto ya mtaji ni tatizo kubwa kutokana asilimia kubwa ya vijana hatukopesheki hivyo wengi wetu inatulazimu kutafuta mitaji yetu wenyewe, lakini tatizo kubwa ninaloliona kwa baadhi ya vijana...
Mm ni mmoja ya wadau wakubwa wa kipind pendwa cha mada moto kimekuwa kiki nielimisha mambo mengi sana hasa ya kisiasa ghafla kipind hik kimepotea kunani?
Kama maelekezo ya Tanzania Tourist board yanavyoeleza, tuipigie kura Mlima Kilimanjaro kwenye tuzo za "World Travel Awards 2017" mwisho wa kura ni mwezi wa nane mwaka huu. Wingi wa kura zetu ndio...
AJALI KATIKA MACHIMBO: Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeruhiwa na taarifa zinasema kuwa kuwa watu wengine wapatao watatu wakiwa bado wamefukiwa kwenye kifusi cha machimbo ya...
Wakuu nimebahatika kumiliki gari langu la pili tangu nizaliwe, la kwanza niliuza, ilikuwa vitz sasa nina IST
Wakuu nina hamu ya kuendesha vibaya sana situliii, vitz nilikaa nayo miaka 4 kwahiyo...
Wakuu habari za mihangaiko…!!!
Katika pitapita zangu mitandaoni nmkutana na habari hii nikaon sio vibaya kushare pamoja nanyi…!!!
katika website ya mwananchi(mwananchi online) kuna habari inasema...
Wakuu, katika pita pita yangu, nimekutana na hili nikaona niwaletee na nyie pia.
Kuna aina mpya ya kumiliki fedha onlione wataalam wanaita cryptocurrencies, naona wenzetu Uganda wameshaanza, kwa...
Huyu Waziri wa Habari, Michezo na Wasanii Tz si kawaida kwa msomi wa Level ya PhD. Huyu jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchuguza sakata la Richmond. Akahitimisha ripoti bila ya...
Hope wakuu mko fine! Niende kwenye hoja moja kwa moja.
Wakati tukiwa ktk hali tunaposhuudia ongezekezo la idadi ya watu wasio na kazi iwe kwa wasomi na wasioenda shule; vijana bado tunashinda...
Habari za majukumu ndugu zangu?
Nimeamua nianzishe uzi huu ilitujifunze kwa wale ambao hatufahamu mambo haya:-
Imepita siku kadhaa baada ya ndugu yangu kukamatwa na maaskari kwa kosa la...
Tuliambiwa General Tyre Kitafufuka, viwanda vya nguo Kanda ya ziwa na Mbeya vitafufuka, waliobinafsishiwa na kugeuza viwanda godowns watalazimishwa kuviendeleza laah! Wapokonywe nk nk.
Ajabu...